Wednesday, 15 February 2017


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mwanahamisi Abdllah akiwa na mtoto Yusra Juma (3.5) katika eneo la mapokezi  la hospitali ya wilaya  ya Kiteto wakati alipotembelea hospitali hiyo  akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Februari 15, 2017.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimfariji, Aziza Ibrahim wakati alipotembelea wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya Kiteto akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Februari 15, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Jengo la Halmashauri ya wilaya ya Kiteto lililopo Kibaya, Februari 15, 2017. Yuko katika ziara ya mkoa wa Manyara.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipanda mti baada ya kuweka jiwe la Msingi la jengo la Halmashauri ya wilaya ya Kiteto akiwa katika ziara ya mkoa wa Manyara, Februari 15, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto mjini Kibaya akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Kiteto Februari 15, 2017.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bndera na kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara, Eliakim Maswi. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimina na viongozi wa dini baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya wilaya ya Kiteto  Februari 15, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Tawala  wa mkoa wa Manyara, Eliakim Maswi baada ya kuwasili mjini Kibaya kuanza ziara ya wilaya ya Kiteto  Februari 15, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa skafu baada ya kuwasili  mjini Kibaya kuanza ziara ya kazi wilayani Kiteto Februari 15, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Engusero wilayani Kiteto waliofunga  barabara wakitaka asimame kuwasalimia. Alikuwa kitoka Dodoma kwenda Kiteto kwa ziara ya kazi mkoani Manyara  Februari 15, 2017.
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao  mjini Kibaya Februari 15, 2017.
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao  mjini Kibaya Februari 15, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea  kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera tarifa ya  mkoa wa Manyara  baad ya kusomewa mjini Kibaya katika siku ya kwanza ya ziara yake wilayani Kiteto Februari 15, 2017.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment