Saturday, 4 February 2017


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Ernest Mangu akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Februari 4, 2017 kutoa taarifa ya kusimamishwa kazi kwa askari 12 wanaotuhumiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini, Kamishna Robert Boaz na Mkuu wa Utalawa wa Jeshi hilo, Kaimu Kamishna wa Polisi Salehe Ambika. (PICHA NA ROBERT OKANDA BLOGSPOT)

Reactions:

0 comments:

Post a Comment