Sunday, 5 February 2017


Baadhi ya washiriki wa Maadhimisho ya Ndani ya Mikaka 40 ya CCM yaliyoandaliwa na CCM mkoa wa Dodoma  wakimpungia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasalimia kwenye Kituo  cha Mikutano cha Dodoma  (DODOMA CONVENTION CENTER), Februari 5, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai,  katika Maadhimisho ya Miaka 40 ya CCM yaliyofanyika  kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma (DODOMA CONVETION CENTER) Februari 5, 2017.
Mjumbe  Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma  Dodoma convetion Center) , Februari 5, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Anne Kilango, Mbunge wa Kuteuliwa na Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela (katikati)  katika Maadhimisho ya Miaka 40 ya CCM yaliyofanyika  kwenye Kituo cha Mikutano cha Dodoma (DODOMA CONVETION CENTER) Februari 5, 2017.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasalimia wana CCM walioshiriki katika Maadhimisho ya Ndani ya Miaka 40 ya CCM  yaliyoandaliwa na Mkoa wa Dodoma kwenye Kituo  cha Mikutano cha Dodoma  (Dodoma Convention Center) Februari 5, 2017.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment