Saturday, 4 February 2017

Diwani wa Viti Maalum Chadema, Debora Sanga (kulia) akipokea zawadi ya vitabu kutoka kwa Naibu Mkurugenzi na Mwanasheria WLAC, Wigayi Kisandu, wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya ‘TUNAWEZA’ kwa Wilaya ya Ilala, iliyofanyika leo Feb 4, 2017 kwenye Uwanja wa Tabata Shule. Picha na Muhidin Sufiani Mafoto Blog
Diwani wa Viti Maalum Chadema, Debora Sanga (kushoto) akimkabidhi zawadi ya vitabu Consoler Eliya kutoka New Hope for Girls Orphan, wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya ‘TUNAWEZA’ kwa Wilaya ya Ilala, iliyofanyika leo Feb 4, 2017 kwenye Uwanja wa Tabata Shule.
Diwani wa Viti Maalum Chadema, Debora Sanga (kushoto) akiwakabidhi zawadi ya vitabu Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Zawadi, wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya ‘TUNAWEZA’ kwa Wilaya ya Ilala, iliyofanyika leo Feb 4, 2017 kwenye Uwanja wa Tabata Shule.
Mgeni rasmi Diwani wa Viti Maalum Chadema, Debora Sanga, akizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya ‘TUNAWEZA’ kwa Wilaya ya Ilala, iliyofanyika leo Feb 4, 2017 kwenye Uwanja wa Tabata Shule.
Wasanii wa Kikundi cha Msimamo Sanaa Group,wakiigiza mbele ya mgeni rasmi na wananchi wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya ‘TUNAWEZA’ kwa Wilaya ya Ilala, iliyofanyika leo Feb 4, 2017 kwenye Uwanja wa Tabata Shule.

Consoler Eliya kutoka New Hope for Girls Orphan, akizungumza wakati akitoa ushuhuda wa Vitendo vya Unyanyasaji kwa Wanawake alivyowahi kuvipitia. Consoler alikuwa kitoa ushuhuda huo wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya ‘TUNAWEZA’ kwa Wilaya ya Ilala, iliyofanyika leo Feb 4, 2017 kwenye Uwanja wa Tabata Shule.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya ‘TUNAWEZA’ kwa Wilaya ya Ilala, iliyofanyika leo Feb 4, 2017 kwenye Uwanja wa Tabata Shule.

Baadhi ya viongozi waliohudhuria uzinduzi huo wakiwa meza kuu.
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule mbalimbali za Sekondari waliojitokeza wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya ‘TUNAWEZA’ kwa Wilaya ya Ilala, iliyofanyika leo Feb 4, 2017 kwenye Uwanja wa Tabata Shule.

Wasanii wa Kikundi cha Msimamo Sanaa Group,washambulia jukwaa wakati wa sherehe za uzinduzi wa Kampeni ya ‘TUNAWEZA’ kwa Wilaya ya Ilala, iliyofanyika leo Feb 4, 2017 kwenye Uwanja wa Tabata Shule.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment