Thursday, 26 January 2017


Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akifurahia ngoma ya Limdoya iliyochezwa na wasanii kutoka kijiji cha Kanitelele wilayani njombe wakati alipohutubia mkutano wa hadhata kayika uwanja wa michezo wa Lupembe mkoani Mjombe Januari 25, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu   Alfred Maruma wa jimbo Katoliki la Njombe,  wakati alipotembelea shamba ya chai ya wakulima wa kijiji cha Lwangu, Njombe Januari 25, 2017

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama  chai   katika shamba la wananchi wa kijiji  cha Lwangu , Njombe akiwa katika ziara ya mkoa huo Januari 25, 2017.Kulia ni Meneja wa Kampuni a kutoa huduma kwa wakulima wadogo wa Njombe  (NOSC),Bw.Filbert Kavia
Reactions:

0 comments:

Post a Comment