Saturday, 7 January 2017

 Timu ya soka ya Yanga ya Dar es Salaam, imebugizwa mabao 4-0 na Vijana wa Chamazi, Azam Fc kwenye pambano la kukata na mundu la michuano ya kombe la Mapinduzi kwenye uwanja wa A man mjini Unguja usiku huu Januari 7, 2017.(PICHA NA OTHMAN MAPARA WA ZANZINEWS).

Reactions:

0 comments:

Post a Comment