Thursday, 26 January 2017


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akiwa ameongozana na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz wakielekea katika ukumbi ambako hafla ya Miaka 10 ya Gazeti la Habari Leo iliyofanyika leo 26/01/2017 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiongea na Wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wakati wa hafla ya Miaka 10 Miaka ya Gazeti la Habari Leo iliyofanyika leo 26/01/2017 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wakimsikiliza Waziri Nape Nnauye wakati alipokutana nao kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 Miaka ya Gazeti la Habari Leo iliyofanyika leo 26/01/2017 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salam.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz akiongea na wageni waalikwa pamoja na wafanyakazi wa Kampuni hiyo wakati wa hafla ya Miaka 10 Miaka ya Gazeti la Habari Leo iliyofanyika leo 26/01/2017 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akiteta jambo na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz
wakati wa hafla ya Miaka 10 ya Gazeti la Habari Leo iliyofanyika leo 26/01/2017 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akifurahia zawadi ya picha aliyopewa na Kaimu Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Bibi. Tuma Abdallah wakati wa hafla ya Miaka 10 ya Gazeti la Habari Leo iliyofanyika leo 26/01/2017 Uwanja a Taifa jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akicharaza gitaa wakati wa hafla ya Miaka 10 ya Gazeti la Habari Leo iliyofanyika leo 26/01/2017 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Benedict Liwenga-WHUSM)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment