Saturday, 21 January 2017


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akifanya mazungumzo na mgeni wake ambaye ni Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni kuhusu mausuala mbalimbali ya habari ofisini kwake Januari 21 2017 Jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM)


Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni (kushoto) akimpatia Kadi ya Mawasiliano Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye wakati alipomtembelea ofisini kwake leo 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akisalimiana na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni wakati alipotembelewa ofisini kwake leo 21 Januari, 2017 Jijini Dar es Salaam.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment