Saturday, 21 January 2017


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha  Ujuni wilayani Makete walioziba  barabara wakitaka asimame kuwasalimia Januari 20, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ndama  waliokuwa wakinyweshwa maziwa wakati alipotembelea shamba la ng’ombe la Kitulu wialayani Makete  Januari  20, 2017

Reactions:

0 comments:

Post a Comment