Tuesday, 10 January 2017


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin  Amour "Komandoo", wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kilimani, Zanzibar Januari 10, 2017.
 Waziri Mkuu Majaliwa akiwa kwenye mazungumzo na "Komandoo"
 Waziri Mkuu na mkewe Mama Mary, wakimsalimia "Komandoo"
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu  wa Rais Mstaafu, Dkt.  Mohammed Gharib Bilal  wakati alipomtembelea  nyumbani kwake eneo la Mbweni, Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakizungumza  na  Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilali wakati walipokwenda nyumbani kwake eneo la Mbweni , Zanzibar januari 10, 2017. 
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary  Majaliwa  akizungumza na  wake za  Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, Zakia  (kushoto na Asha (katikati)  wakati yeye na  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa walipoitembelea familia ya  Dkt. Bilal , eneo la Mbweni Zanzibar, Januari 10, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary  (watatu kushoto)  wakizungumza na Makamu wa Rais Mstafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal  na wake zake, Mama Zakia Biala (kushoto) na  Mama  Asha Bilal wakati walipowatembelea  nyumbani kwao eneo la  Mbweni, Zanzibar Januari 10, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kulia) wakizungumza na watoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt Salmin Amour wakati walipoitembelea familia ya Rais huyo eneo la  Kilimani mjini Zanzibar, Januari 10, 2017. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na  Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilali wakati walipomtembelea  nyumbani kwake eneo la Mbweni , Zanzibar januari 10, 2017. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akifurahia jambo na Mama Fatma Karume,  mjane wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi   ya  Zanzibar, Sheikh Aabeid Aman Karume, wakati alipomtembelea nyumbani kwake, eneo la  Maisara, Zanzibar, Januari 10, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
 Mama Karume akimpokea kwa bashasha waziri Mkuu, Majaliwa
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar, Mama  Fatma Karume wakati alipomtembelea nyumbani kwake  eneo la    Maisara Zanzibar Januari 10, 2017.   
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na mjane wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi   ya  Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati alipomtembelea nyumbani kwake, eneo la  Maisara, Zanzibar, Januari 10, 2017. 
 Mama Karume, akikumbatiana na mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary  wakiongozana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume  kutoka  ndani  wakati walipomtembelea  mama huyo nyumbani kwake eneo la Maisara mjini Zanzibara, Januari 10, 2017.
 Waziri Mkuu, na Mkewe, wakiagana na Mama Fatma Karume
 Waziri Mkuu, na mkewe mama Mary Majaliwa, wakimsalimia Rais wa zamani wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour, "Komandoo" nyumbani kwake, mjini Unguja
Mke wa Waziri Mkuu,   Mama Mary  Majaliwa akizungumza na  Mama Azza Amour, Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour wakati alipoitembelea familia ya Rais huyo Mstaafa eneo la Kilimani  mjini Zanzibar Januari 10, 2017. Mtoto aliyesimama kushoto ni Mjukuu wa Dkt. Salmin.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment