Thursday, 19 January 2017


Wananchi wa Makambako mkoani Njombe wakishangilia wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Polisi Januari 19, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa polisi katika mji wa Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 19, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua vibanda vya biashara vya   Magegele vinavyomilikiwa  na Halmashauri ya Mji   wa Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 19, 2017
 Wananchi wa Makambako mkoani Njombe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Polisi Januari 19, 2017.
Wananchi wa Makambako mkoani Njombe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Polisi Januari 19, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa mkoa na wilaya ya Njombe baada ya kupokea taarifa ya mkoa huo katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani humo Januari 19, 2017. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka
Reactions:

0 comments:

Post a Comment