Sunday, 22 January 2017

 Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Land O'Lakes, Dkt.Rose Kingamkono, akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Januari 22, 2017 ambapo walizungumzia haki zaidi kwa wanawake katika usawa wa kijinsia katika kilimo, uhakiki wa chakula na lishe. (PICHA NA K-VIS BLOG/Khalfan Said)
 Profesa Bertha Omari Koda, akizungumza kwenye mkutano huo
 Mshauri mwelekezi kwenye masuala ya jinsia, utawala bora na maendeleo, Magreth Henjewele, (kushoto), akijibu baadhi ya maswali ya waandishi wa habari kuhusu haki na utawala katika kusimamia na kumiliki uchumi katika familia. Kulia ni Profesa Bertha Omari Koda
 Mkutano ukiendelea

Reactions:

0 comments:

Post a Comment