Monday, 16 January 2017


Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Madaktari  wa Hospitali ya Apolo, Bangalole ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kumuwekea  milango miwili ya moyo ya chuma (Aortic na Mitral Valuves) ambayo itamsaidia kupitisha damu vizuri katika moyo. Kutoka kulia ni Dkt. Sathyaki Nambala, akifuatiwa na Dkt. Bashir Nyangasa  na kushoto ni Dkt. Lebighe Khan.
Madaktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Madaktari  wa Hospitali ya Apolo, Bangalole ya nchini India wakiendelea na kazi ya kumfanyia  mgonjwa upasuaji wa kumuwekea  milango miwili ya moyo ya chuma (Aortic na Mitral Val uves) ambayo itamsaidia kupitisha damu vizuri katika moyo. Mgonjwa huyo milango yake miwili ya moyo haikuwa inafanya   kazi vizuri ya kupitisha damu. (PICHA NA ANNA NKINDA – JKCI)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment