Tuesday, 31 January 2017Waziri Mkuu Kassim Majaliwa(kushoto), akimsikiliza  Mbunge wa Iramba Mashariki, Mheshimiwa, Allan Kiula wakati walipo kutana katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma Waziri Mkuu yupo Mkoani Dodoma katika kushiriki Mkutano wa Sita wa Bunge la 11 lililoanza leo Januari 31, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment