Friday, 6 January 2017NA DAUDIMANONGI-MAELEZO
SerikalikupitiaWizarayaAfya,MaendeleoyaJamii,Jinsia,WazeenaWatotoimesemakuwainamkakatimkubwawakuhakikishavipimovyotemuhimuvinapatikanakatikaHospitaliza Kanda  naMikoanchini.
HayoyamesemwanaKatibuMkuuWizarayaAfya,MaendeleoyaJamii,Jinsia,WazeenaWatotoDkt.MpokiUlisubisyaalipokuwaakiongeakatikakipindi cha TUNATEKELEZA kinachorushwanaTelevisheniyaTaifaya TBC1 kwaushirikianonaIdarayaHabari-MAELEZO.
“MkakatiwaSerikalihivisasanikuimarishahudumazoteziwekaribunawananchinapiavipimovyotevyamsingivipatikanemahaliwananchiwalipokwamfanotunategemeakuwenamashinezamionziya Xray,Ultrasound,navipimovyaMoyokatikahospitalizaWilayanapiahospitalizotezakandazitakuwanavipimovyotevyakirufaa,”AliongezaDktMpoki.
AidhaamesemaSerikaliinategemeakuwekawataalamunavifaakatikaHospitaliza Kanda naRufaaambapokwasasakunahospitalinnezakikandaambazoni KCMC,Bugando (BMC),TaasisiyaBenjaminiMkapamkoani Dodoma,HospitaliyaRufaayaMbeyananyingineambayoikokatikaujenzimkoaniMtwaranapiamkoaniTaboraambazozotezitakuwanavifaanawataalamuwaliobobeakatikafanimbalimbali.
AmeongezakuwaSerikaliikobegakwabeganawadauwaAfyaambapokatikaHalmshauriambazohazinaHospitaliwataingiamkatabawahudumanaHospitaliteuleikiwamozadininabinafsiambapowagonjwawatapatahudumabilamatatizoilimradiwafuatesera tulizowekapamojanakanuni,taratibunasheriazauendeshajiwaTaasisihizoilikuhakikishawananchiwanapatahudumazilizo Bora.
MbalinahayoSerikaliyaAwamuyaTanoimeamuakuwakilaKijijikiwenaZahanati bora ambapokutakuwanatabibu, muuguzinamfanyakaziwaafyayajamii.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment