Thursday, 19 January 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo  mara baada ya kutembelea   Taasisi hiyo jana. .(PICHA NA ANNA NKINDA – JKCI)

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo  alipotembelea  Taasisi hiyo jana. Kushoto ni Afisa Muuguzi Edna Kajuna

Reactions:

0 comments:

Post a Comment