Wednesday, 25 January 2017

Madaktari Bingwa wa Moyo wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakitoa huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization). Kulia ni Dkt. Peter Kisenge, akifuatiwa na  Dkt. Peter O’brien na kushoto ni Afisa Muuguzi Ayoub Mchau.

Madaktari Bingwa wa Moyo wa  Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Madaktari Afrika wa nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizi kutoa  huduma kwa mgonjwa ya kuzibua mshipa wa moyo uliokuwa umeziba  bila ya kupasua kifua (Catheterization).(PICHA NA ANNA NKINDA – JKCI)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment