Wednesday, 18 January 2017

 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma akila kiapo Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 18, 2017. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, ndiye aliyemuapisha Profesa Juma katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa akiwemo, Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, na Jaji Mkuu aliyeondoka madarakani baada ya muda wake kumalizika, Othman Chande. (PICHA NA VPO)
 Rais Magufuli, akimuapisha Profesa Ibrahim Hamisi Juma, kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania. Wakwanza kushoto, ni Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Chande Othman
 Rais akimkabidhi vitendea kazi, Profesa Juma
 Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamisi Juma
 Picha ya pamoja, Rais Magufuli, akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamisi Juma, na Jaji Mkuu mstaafu,  Mohamed Chande Othman
 Rais Magufuli akifurahia jambo na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Jaji Mkuu mstaafu, Mohammed Chande Othman
Reactions:

0 comments:

Post a Comment