Sunday, 11 December 2016Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Christina Mndeme baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 11, 2016 na kesho anatarajiwa kwenda Singida kuwa mgeni rasmi kwenye   sherehe za Maulid. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


Reactions:

0 comments:

Post a Comment