Friday, 23 December 2016


Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kufuatia kifo cha dada yake nyumbwani kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016. (PICHA NA IKULU)


Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kwa kufiwa na dada yake nyumbwani kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016


Rais na mama Janeth Magufuli, wakiagana na Askofu Cardinali Pengo
Reactions:

0 comments:

Post a Comment