Friday, 23 December 2016Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Jackobs Mwambegele  kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016


Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Rehema Kiwanga Mkuye  kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016 

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha jaji Sivangilwe Sikalalilwa Mwangosi  kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016


Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016


Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza baada ya kuwaapisha kuwa Majaji  wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016


Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwapongeza baada ya kuwaapisha kuwa Majaji  wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe Angellah Kairuki, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,  Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju katika picha ya pamoja na Majaji  wapya wanne wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais John Magufuli akiteta na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Ikulu jijini Dar es salaam, Desemba 23, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI `MKUU)

Rais John Magufuli  akisalimiana na  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Rais John Magufuli akizungumza na mtoto  Doreen Ndika ambaye aliambatana na baba yake, Jaji Dkt. Gerald Ndika ambaye aliyeapishwa na Rais `Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016 kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Reactions:

0 comments:

Post a Comment