Wednesday, 7 December 2016

 Bw. Lawrence Mafuru, aliyekuwa Msajili wa Hazina ambaye jioni hii, Rais John Pombe Magufuli, kupitia kurugenzi ya mawasiliano ya Rais, Ikulu, leo Desemba 7, 2016 amemuondoa kwenye wadhifa huo na atampangia kazi nyingine, nafasi yake imechukuliwa na Dkt. Osward Mashindano. Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka kuwa Mkuu wa mkoa wa Njombe, na kumuhamisha aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Dk. Rehema Nchimbi, kwenda mkoani Singida. Aidha Rais amefanya mabadiliko kadhaa ya makatibu wakuu, taarifa kamili inapatikana hapo chini.
Christopher Ole Sendeka

Reactions:

0 comments:

Post a Comment