Thursday, 15 December 2016Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akifungua kikao cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi na vyama vya Siasa vitakavyoshiriki katika uchaguzi mdogo katika jimbo la Dimani Zanzibar leo, Desemba 15, 2016
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani akitoa ufafanuzi kwa viongozi wa vyama vya Siasa kuhusu maadili ya kuzingatia kwa vyama vya Siasa wakati wa uchaguzi huo na maandalizi ya Uchaguzi wa jimbo la Dimani leo mjini Zanzibar.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damiani Lubuva (kushoto) akiwa na wajumbe wa NEC wakakifuatilia mkutano huo leo mjini Zanzibar.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani akitoa ufafanuzi kwa viongozi wa vyama vya Siasa kuhusu maadili ya kuzingatia kwa vyama vya Siasa wakati wa uchaguzi huo na maandalizi ya Uchaguzi wa jimbo la Dimani leo mjini Zanzibar.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment