Monday, 5 December 2016

MBUNGE wa Ukonga, Mwita Waitara (wa tatu kushoto), akikabidhi msaada wa vyakula na nguo kwa wananchi wa Kata za Msongola na Kivule waliovunjiwa nyumba zao kutokana na mgororo wa ardhi na Umoja wa Vijana Kikristo Tanzania (UVIKIUTA), Dar es Salaam Desemba 5, 2016
MBUNGE wa Ukonga, Mwita Waitara, akizungumza na wananchi  na Kata za Msongola na Kivule waliovunjiwa nyumba zao kutokana na mgororo wa ardhi na Umoja wa Vijana Kikristo Tanzania (UVIKIUTA) kabla ya kuwakabidhi msaada wa vyakula na nguo, Dar es Salaam


Reactions:

0 comments:

Post a Comment