Friday, 30 December 2016


Msajili wa Hazina Dkt.Oswald Mashindano akimkabidhi mwakilishi kutoka Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya Kitropiki Tanzania (TPRI), mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za umma na Serikali kupitia msajili wa hazina.


Msajili wa Hazina Dkt.Oswald Mashindano akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya AICC Balozi Dkt.Ladislaus Komba mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za umma na Serikali kupitia msajili wa Hazina.


Msajili wa Hazina Dk.Oswald Mashindano akizungumza jambo na baadhi ya wajumbe kutoka Chuo kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) na Taasisi ya Utafiti wa Viuatilifu vya Kitropiki Tanzania.(TPRI) wakati wa hafla ya kusaini makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za umma na Serikali kupitia msajili wa hazina.


Wajumbe mbalimbali kutoka Bodi ya Wakurugenzi ya AICC na Mfukowa Umoja wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania wakimskiliza Msajili wa Hazina Dkt.Oswald Mashindano (hayupo pichani) wakati wa kusaini makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za Serikali na Serikali kupitia msajili wa hazina.Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar essaalaam Prof. Paramagamba Kabudi akitia saini mkataba wa makubaliano ya utekelezaji wa mkakati wa mwaka kati ya Taasisi za umma na Serikali kupitia msajili wa hazina leo Desemba 30, 2016 Jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar esSalaam Profesa Rwekaza Mukandara (PICHANADAUDIMANONGI-MAELEZO).
 
Reactions:

0 comments:

Post a Comment