Saturday, 24 December 2016


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maadalizi ya eneo la ujezi wa nyumba za askari magereza katika gereza la   Ukonga jijini Dar es salaam Desemba 24, 2016.   Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na kushoto kwake ni Kaimu  Kamishina Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Ali  Malewa. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi  Hamad Masauni akizungumza wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokwenda kwenye Gereza la Ukonga kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya askari Magereza  Desemba 24, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua gwaride lililoandaliwa  na Jeshi la Magereza  wakati alipowasili kwenye gereza la Ukonga  jijini Dar es salaam kukagua maadlizi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari Magereza Desemba 24, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea heshima kutoka kwa  gwaride lililoandaliwa  na Jeshi la Magereza  wakati alipowasili kwenye gereza la Ukonga  jijini Dar es salaam kukagua maadlizi ya ujenzi wa nyumba za makazi ya Askari Magereza Desemba 24, 2016Reactions:

0 comments:

Post a Comment