Tuesday, 27 December 2016


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na   Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake  Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi,  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha. (PICHA NA IKULUYA ZANZIBAR)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake  Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi,  alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo Desemba 27, 2016
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akibadilishana mawazo na  Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake  Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi,  baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kujitambulisha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi   wa Cuba  katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe,Jorge Luis Lopez   alipofika Ikulu Mjini Unguja leo Desemba 27, 2016 kumuaga, baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi   wa Cuba  katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe,Jorge Luis Lopez   alipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais   kwa kumaliza muda wake wa kazi hapa Nchini.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na mgeni wake Balozi   wa Cuba  katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe,Jorge Luis Lopez baada ya mazungumzo yao  leo alipofika Ikulu Mjini Unguja kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi
Reactions:

0 comments:

Post a Comment