Thursday, 15 December 2016


Makamko Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,  ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akiongoza kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo Desemba 15, 2016 katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja. Kikao hicho kinafanyika wakati maandalizi ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Dimani yamekamilika ambapo chama cha upinzani CUF kitashiriki uchaguzi huo. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)

Makamko Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,  ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Auai wakiwa katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo Desemba 15, 2016 katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja

Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Mwyekiti wa kikao hicho cha siku moja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamko Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment