Tuesday, 8 November 2016


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimian na Balozi wa Uingereza nchini, Mheshimiwa Sarah Cooke kabla ya mazungumzo yao. ofisini kwa Waziri Mkuu, bungeni mjini  Dodoma  Novemba 8, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Balozi wa Uingereza nchini, Mheshimiwa Sarah  Cooke, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Novemba 8, 2016

Reactions:

0 comments:

Post a Comment