Thursday, 3 November 2016


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela wakati alipomtembelea, nyumbani kwake mjini Dodoma Novemba 2, 2016.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Waziri wa Kilimo , Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Buchosa, Dkt. Charles Tizeba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 2, 2016.
Wazirii Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Maswali  bungeni mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wapiga kura wake kutoka jimbo la Ruangwa waliomtembelea bungeni mjini Dodoma Novemba 3, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wapiga kura wake kutoka jimbo la Ruangwa waliomtembelea bungeni mjini Dodoma Novemba 3, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wapiga kura wake kutoka jimbo la Ruangwa  waliotembelea bunge mjini Dodoma Novemba  3, 2016
Reactions:

0 comments:

Post a Comment