Monday, 7 November 2016Naibu Waziri wa Fedha na Mipango ambaye pia ni Mbunge wa Kondoa Vijijini, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, (kushoto),  akipokea madawati 100 yenye thamani ya Milioni 10 kutoka kwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, (TPB), Jema Msuya. Makabidhiano hayo yalifanyika wilayani Kondoa, mkoani DodomaNaibu Waziri wa Fedha na Mipango ambaye pia ni Mbunge wa Kondoa Vijijini, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Jema Msuya baada ya Makabidhiano ya Madawati 100 yenye thamani ya shilingi milioni 10, Makabidhiano hayo yalifanyika wilayani Kondoa, Dodoma. Wa kwanza kulia Meneja wa TPB tawi la Dodoma, Twaha Khaflani, wengine ni viongozi wa Wilaya ya Kondoa.


Reactions:

0 comments:

Post a Comment