Wednesday, 16 November 2016


Wasanii kutoka Dar es Salaam wakitoa burudani wakati wa hafla ya uzinduzi wa televisheni za kidigitali kutoka kampuni ya StarTimes Tanzania uliofanyika Novemba 16,2016 Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa StarTimes Tanzania Bw. Leo Liao (kulia) akimueleza jambo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Bibi. Maria  Sasabo(kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa televisheni za kidigitali kutoka kampuni ya StarTimes Tanzania uliofanyika Novemba 16,2016 Jijini Dar es Salaam.

 Mkurugenzi Mkuu wa StarTimes Tanzania Bw. Leo Liao, akizungumza

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Bibi. Maria Sasabo akizungumza na wadau sekta ya Habari na Mawasiliano wakati wa hafla ya uzinduzi wa televisheni ya kidigitali kutoka kampuni ya Startimes Tanzania uliofanyika Novemba 16, 2016 Jijini Dar es Salaam

Meneja Masoko na Mahusiano wa StarTimes Tanzania Bw. Juma Sharobaro akizungumza wakati wa kuchezesha bahati nasibu ya kumpata mshindi wa moja ya televisheni za kidigitali katika hafla ya uzinduzi wa televisheni hizo uliofanyika Novemba 16, 2016 Jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Bibi. Maria  Sasabo(kushoto) akikabidhi zawadi ya moja ya televisheni za kidigitali yenye upana wa inchi 32 kwa mshindi wa televisheni hiyo Bw.Ambokile Mapasa  wakati wa hafla ya uzinduzi wa televisheni hizo uliofanyika Novemba 16,2016 Jijini Dar es Salaam

Reactions:

0 comments:

Post a Comment