Tuesday, 8 November 2016


Waitara: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana  na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANAPA ambaye pia  Mkuu wa Majeshi Mstaafu   Jenerali George MARWA Waitara alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 8, 2016. (PICHA NA IKULU)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana naMkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Brigedia Jenerali Michael Isamuhyo alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 8, 2016
Reactions:

0 comments:

Post a Comment