Monday, 28 November 2016

Mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika, (AU), Rais Idriss Deby wa Chad, akipunga mkonowakati akisindikizwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo ambapo ameondoka nchini baada ya ziara yake yakikazi. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Reactions:

0 comments:

Post a Comment