Monday, 14 November 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mwenyeji  wake Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 14, 2016.(PICHA NA IKULU)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki Ikulu jijini Dar es Salaama.

 Rais akimsindikiza mgeni wake baada ya mazungumzo yao
Rais Mgufuli akiagana na Rais mstaafu Thabo Mbeki baada ya mazungumzo yao
Reactions:

0 comments:

Post a Comment