Tuesday, 8 November 2016


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema  wakati   alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya  Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, alipofanya katika  ziara ya kutembelea ujenzi wa  Barabara hiyo Novemba 7, 2016. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)

Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya  Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa  Barabara hiyo

Afisa Mdhamini wa Wizara ya Afya Nd,Bakari Ali Bakari akitoa ufafanuzui wa utoaji wa huduma kwa Wananchi wa Kijiji cha Ngomeni shehia ya Mgelema  wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipofika Kijijini hapo pamoja na kuwasalimia Wananchi wakati alipotembelea Ujenzi wa Barabara ya  Kuyuni-Ngomeni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba alipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa  Barabara hiyo
Reactions:

0 comments:

Post a Comment