Friday, 11 November 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimfariji mama Margareth Sitta, mke wa marehemu Samwel Sitta, wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Sitta kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Novemba 11, 2016.
 Rais Magufuli akitoa heshima zake za mwisho mbele ya mwili wa marehemu Samwel Sitta
  Rais mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, na Mama Anna Mkapa wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya mwili wa marehemu Samwel Sitta
   Rais mstaafu wa serikali ya awamu ya nne, Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima zao za mwisho mbele ya mwili wa marehemu Samwel Sitta
 Rais Magufuli akimpa pole mtoto wa marehemu, Benjamin Sitta
Reactions:

0 comments:

Post a Comment