Thursday, 10 November 2016


Mshindi wa Milioni Mia ya Jiongeze na M-pawa mkazi wa Mwanza Paulina Kulwa(kulia) akipokea mfano wa hundi yake kutoka kwa  Mkuu wa Kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania, Ayubu Kalufya(kushoto), kwenye hafla iliyofanyika jijini Mwanza, akishuhudia katikati ni Mkuu wa kitengo cha Masoko wa CBA Benki, Solomon Kawiche.


Mshindi wa Milioni Mia kupitia promosheni ya”Jiongeze na M-pawa”iliyokuwa ikiendeshwa na Vodacom Tanzania, Mkazi wa Mwanza Paulina Kulwa(katikati) akifurahi baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi na Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa,Ayubu Kalufya kwenye hafla fupi iliyofanyika jijini Mwanza jana, kushoto ni Meneja Masoko wa huduma za kifedha wa kampuni hiyo Noel Mazoya.Mshindi wa Milioni Mia kupitia promosheni ya Jiongeze na M-pawa iliyokuwa ikiendeshwa na Vodacom Tanzania,Mkazi wa Mwanza Paulina Kulwa akifurahi baada ya kupokea mfano wa hundi yake, kwenye hafla iliyofanyika jijini Mwanza.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment