Wednesday, 16 November 2016


Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(Chadema),akiwafundisha somo la hesabu wanafunzi wa darasa la sita wa Shule ya Msingi Mwangati baada ya kukabidhi msaada wa madawati katika shule hiyo Dar es Salaam Novemba 16, 2016

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(Chadema), akimkabidhi madawati Mwalimu Mkuu wa Shule ya Shule ya Msingi Serengeti, Marietha Mulyalya Dar es Salaam
Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(Chadema),akimwangalia Mwanafunzi, Gabriel Yohana wa Shule ya Msingi Mwangati namna anavyojibu swali lake baada ya kukabidhi msaada wa madawati katika shule hiyo Dar es Salaam

Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(Chadema), akizungumza na wanafunzi, walimu na viongozi wa  Shule ya Msingi Mwangati baada ya kukabidhi msaada wa madawati, Dar es Salaam
 Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara(Chadema), akimkabidhi madawati Mwalimu Mkuu wa Shule ya Shule ya Msingi Serengeti,  Dar es Salaam


Reactions:

0 comments:

Post a Comment