Monday, 14 November 2016

 Makamu wa Rais, mama Samia Suluhu Hassan, akikabidjiwa mfano pasi ya kupanda ndege ya ATCL, kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza Jana.Makamu wa.Rais aliisifu ndege hiyo haina ya Bombardier Q400 kwa usafiri mzuri na kwamba umepunguza gharama kwa watumishi wa serikali kama yeye, bapo badala ya kukodi ndege, ameweza kutumia usafiri huo na hivyo kupunguza gharama. Ndege hiyo pia ilikodishwa na serikali kupeleka viongozi mkoani Tabora kwenye msiba wa spika mstaafu marehemu Samwel Sitta.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment