Tuesday, 8 November 2016

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari kuelekea kwenye jengo la utawala la  bunge mjini Dodoma Novemba 8, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

 
Mbunge wa viti Maalum, (Vijana), Mh. Halima Bulembo akiwasilibungeni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Utumishina Utawala Bora), Mh. Angella Jasmin Kairuki akiwasili bungeni

Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhulia kikao cha saba cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linalendelea Mjini Dodoma.

Naibu Waziriwa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), Mh. Luhaga Mpina, akiwasili bungeni
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi,  Profesa Joyce Ndalichako akiwasili bungeni
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mwigulu Nchemba, (kushoto) akiongozana na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya  Makazi Mhe. Angelina Mabula
 Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mh. Anastazia Wambura akiwasili bungeni
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye, akiongozana nammoja wa wabunge wanaowakilisha watu wenye ulemavu

Mbunge wa Bariadi Mashariki, (CCM), Mh. Andrew Chenge, (kushoto), akifuatana na Mbunge wa Tabora Kaskazini (CCM), Mhe. Almas Maige


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.


Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Suleiman Jafo akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.


Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.


Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Hamis Kigwangalla akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.


Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard Kalemani akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.


Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage  akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.


Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya  Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge wakati wa kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.


Mbunge wa Jimbo la Nzega Mjini Mhe. Hussein Bashi akiuliza swali katika kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba wakati wa  kikao cha sita cha mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma Novemba 8, 2016.

(PICHA ZOTE NA IDARA YA HABARI MAELEZO).
Reactions:

0 comments:

Post a Comment