Tuesday, 1 November 2016


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa  Kawe, Halima Mdee kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Novemba 1, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wanawake kutoka bunge la Zimbabwe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 201
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wanawake kutoka bunge la Zimbabwe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 201
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Novemba 1, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mbozi  Magharibi,  David  Silinde  (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Suzan Lymo kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Waziri  wa Nchi,  Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akizungumza bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Singida  Kaskazini , Lazaro Nyalandu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Tarime, Ester Matiko bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016
Reactions:

0 comments:

Post a Comment