Thursday, 3 November 2016


Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na kiako cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhulia kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye, (kushoto), akiongozana na Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni waliokuwa wakiwasili bungeni leo
 Mbunge wa Hanang, (kushoto), akiongozana na Mbunge wa Nkasi, Ally Kessy


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki wakifuatilia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu katika kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.


Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof Makame Mbarawa (kushoto) pamoja na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Gerson Lwenge wakifuatilia kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu katika kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kipindi cha maswali ya moja kwa moja kwake wakati wa kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3, 2016.Baadhi ya wabunge na mawaziri wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhulia kikao cha tatu cha Mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma Novemba 3,2016.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment