Tuesday, 8 November 2016


Mkuu wa kituo cha Utamaduni wa China hapa nchini Bw.Gao Wei akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Novemba 8, 2016 Jijini Dar es Salaam kuhusu maonyesho ya Utamaduni wa nchi hiyo yatakayofanyika kuanzia tarehe 12 hadi 24 Novemba mwaka huu katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam.

(PICHA NA Na Shamimu Nyaki).


Mkuu wa kituo cha Utamaduni wa China hapa nchini Bw.Gao Wei akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Novemba 8, 2016 Jijini Dar es Salaam kuhusu maonyesho ya Utamaduni wa nchi hiyo yatakayofanyika kuanzia tarehe 12 hadi 24 Novemba mwaka huu katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam.Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkuu wa kituo cha Utamaduni wa China hapa nchini Bw.Gao Wei (Hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akitoa maelezo kuhusu maonyesho ya Utamaduni wa  nchi hiyo yatakayofanyika kuanzia tarehe 12 hadi 24 Novemba mwaka huu katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment