Monday, 1 August 2016

 Waombolezaji wakilishusha jeneza lwenye mwili wa marehemu Joseph Senga, aliyekuwa mpiga picha mkuu wa gazeti la Tanzania Daima, wakati wa zmishi yake yaliyofanyika wilayaniKwimba mkoani Mwanza leoJAgosti 1, 2016. Marehemu Senga alifariki wiki iliyopita nchiniIndia alikokuwa akipatuiwa matibabu yamoyo. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi AMIN.
Wawakilishi wa Chama Cha Wapiga Picha Tanzania, Said Powa, (kushoto), na Emmanuel Herman, wakiwa kwenye ibada yamazishi
Mbunge wa Nsuve Richard Ndasa, ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa marehemu akimuaga kwa mara ya mwisho kabnla ya mazishi yake leo Agosti 1, 2016
Mwili ukiwasili katika Kijiji cha Shushi Wilaya ya Kwimba Mwanza kwa ajili ya taratibu za maziko. (Picha na Said Powa)

Mama wa marehemu akilia kwa uchungu huku akifarijiwa na ndugu.
  Mama wa marehemu akisaidiwa kugusa mwili wa mwanae kwa mara ya mwisho kabla ya maziko.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment