Saturday, 20 December 2014

Wakazi wa jiji la Darces Salaam, wakitazama majina ya shule walikopangiwa wananfunzi wa darasa la saba waliofaulu mtihani wa taifa 2014, wanaoanza kidato cha kwanza 2015. Majina hayo yanapatikana kwenye shule walikomaliza wanafunzi hao na ofisi za kata zote nchini

Naibu waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu (TAMISEMI), Kassim Majaliwa akitangaza utaratibu wa kujiunga kidato cha kwanza

Reactions:

0 comments:

Post a Comment