Saturday, 20 December 2014

Afisa Uhusiano mwandamizi wa Mfuko wa Pen sheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kushoto), akipena mikono na Ummy Shaaban, mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Buyuni II, iliyoko Chanika, wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam,wakati akikabidhi msada wa madawati kwa ajili ya shule hiyo mwishoni mwa wiki. (Katikati ni mwalimu mkuu wa shule hiyo, Rogather Palla. (Picha na Mpiga Picha wetu)

Mwalimu Mkuu wa shule, Rogather Palla (Kulia), akitoa shukrani

Njaidi, (Kushoto), akitoa elimu kupitia vipeperushi kwa baadhi ya walimu wa shule hiyo

Wanafunzi wakibeba dawati kupeleka darasani

Baadhi ya wanafunzi wakiwa wameketi kwenye madawati hayo

Afisa Uhusiano mwandamizi wa PSPF, Abdul Njaidi, akiwaelimisha wanafunzio hawa wa shule hiyo, kuhusu huduma mbalimbali zitolwewazo na Mfuko huo

Wanafunzi wakishangili msada huo wa madawati

Reactions:

0 comments:

Post a Comment