Friday, 19 December 2014

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dkt. Reginald Mengi, akifurahia jambo na balozi wa Uuruki nchini Tanzania, Ali Davutoglu, (Katikati) na mkewe, Yesim Mego Davutoglu, wakati balozi na mkewe walipomuonyesha Dkt. Mengi, mchoro wa kijiji cha kisasa cha kutunza watu wenye ulemavu wa ngozi, (Albinism), kitakachojengwa barabara ya Bagamoyo hivi karibuni. Kijiji hicho kitakuwa na eneo la ukubwa wa Mita za mraba 35,000. Balozi huyo na mkewe walikuwa kwenye mazungumzo na Dkt. Mengi makao makuu ya IPP, jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Desemba 19, 2014

Yesim Mego Davutoglu,

Dkt. Mengi akimsikiliza balozi Davutoglu

Dkt. Mengi (Kulia), akizungumza wakati wa mazungumzo yakena balozi wa Utureuki, Ali Davutoglu (Katikati) na mkewe
Yesim

Yesim (Kushoto) na mumewe Davutoglu akizungumza

Dkt. Mengi akiongozana na balozi Davutoglu

Reactions:

2 comments:

Hamza Kondo said...

U DKT.SIO MCHEZO JAMANI!

Hamza Kondo said...

U Dkt sio MCHEZO JAMANI!

Post a Comment