Sunday, 23 November 2014

Menejawa Benkiya NMB tawi la Bagamoyo, mkoani Pwani, Elizabeth Chawinga (aliyeshika mpira) akiwa katika picha ya pamoja na timu ya mpira wa pete (Netiboli), Kaole muda mfupi kabla ya kuanza kwa tamasha la michezo la vyuo vikuu mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani juzi. Tamasha hiyo lililofana lilidhaminiwa na kampuni ya simu za mikononi Tigo


MenejawaBenkiya NMB tawi la Bagamoyo, Elizabeth Chawinga, ambayealikuwamgenirasmikatikatamasha la michezo la vyuo vikuu kutoka Bagamoyo iliyodhaminiwana kampuniya simu za mikononi Tigo akisalimiananawachezajiwa timuya netiboli ya chuo cha Adem katika uwanja wa chuo hicho wilayani humo.

MenejawaBenkiya NMB tawi la Bagamoyo, Elizabeth Chawinga akisalimiana na wachezaji wa timu ya netiboli Kaole

MenejawaBenkiya NMB wa Bagamoyo, Elizabeth Chawinga, akipiga picha ya pamoja na timu ya soka ya Karege

MenejawaBenkiya NMB wa Bagamoyo, Elizabeth Chawinga, akipiga picha ya pamoja na timu ya soka ya Ledso

Reactions:

0 comments:

Post a Comment