Wednesday, 21 May 2014

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Vanessa Hau Mdee, ambaye ni mmoja kati ya wasanii watatu wanaotangaza huduma mpyab ya internet inayokwenda kwa jina la switch on ya mtandao wa Airtel-Tanzania, akifanya vitu vyake wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo, Jumatano usiku jijini Dar es Salaam

Wasanii wa Bong Flavor, Emmanuel Elibariki, a.k.a Nay wa Mitego (Kushoto), Vanessa Hau Mdee (Katikati) na Barnabar Elias, a.k.a Barnaba, wakizindua huduma ya switch on ya airtel ambayo inamuwezesha mteja wa mtandao huo, kujiunga na huduma ya internet isiyo na kikomo kwenye simu yako kwa kubonyeza kama inavyoonekana kwenye mabango

Wasanii hao wakiwa jukwaani wakatyi wa uzinduzi huo

Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel-Tanzania, Levi Nyakundi, akizungumza wakati wa uzinduzi huo

Vanessa Mdee huyo

Nay Wa Mitego, Vaness Mdee na Barnaba, wakiwa njukwaani kwenye uzinduzi huo

Vanessa "akichechetuka"

Mwanamuziki wa Hip Hop, Nay Wa Mitego amki "rap"

Vanessa na wenzake wakifanya mambozzz

Reactions:

0 comments:

Post a Comment